Apartment inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam
7 days ago
Sh. 140,000,000
Aina
Apartment
Ukubwa
1000 SQM
Huduma na Sifa
Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Maelezo
🏢 APARTMENTS ZINAUZWA – MBEZI KWA MSUGURI 🏢
Apartments nzuri zinauzwa Mbezi Kwa Msuguri, dakika 1 tu kutoka barabara ya lami 🚗
✅ Zipo units 6 zote zimekamilika
✅ Zote zipo ndani ya fence moja salama
✅ Eneo lina ukubwa wa sqm 1000
✅ Nzuri kwa biashara ya upangishaji (investment)
💰 Bei: Milioni 140 tu (mazungumzo yapo)
💼 Service charge: Tsh 30,000/=
📞 Piga sasa: +255 688 412 890
👉 Fursa adimu kwa wawekezaji – anza kupata kipato mara moja!
