Apartment (Furnished) ya vyumba 10 inauzwa Kikuyu, Dodoma (1300 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba zinauzwa dodoma mtaa Kikuyu
BEI MILION 500 MAONGEZI YAPO
Zipo appartment 5 ndani ya fensi.
1. Master bedroom 4 , sebule kubwa , digning , jiko , sehemu ya kufulia . Store.
2. Master bedroom 2 , sebule kubwa , digning , jiko .
3. Master bedroom 2 sebule kubwa , digning , jiko.
4. Master bedroom 1 , sebule, jiko , digning .
5. Master bedroom 1 sebule ,digning na jiko.
Mengineyo .
1. Kisima cha kisasa kabisa kinachotoa maji safi hayana chumvi, na maji ya Dowasa, nyumba zote mifumo ya maji.
2. Fensi ya kisasa , yenye electrical fensi, ( fensi ya umeme), na nyumba za walinzi ke/ me. Na choo cha nje.
3. Kuna parking kubwa sana yenye uwezo wa kuingiza na kupark Gari zaidi ya nane kwa pamoja.
4. Kila chumba cha kulala kuna kitanda cha kisasa na kabati la nguo.
5. Kiwanja ni square meter 1300. Na kadhaa.
=====
Cont
0683234124
0718367179

