Apartment inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER BERD ROOM
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCK NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 150,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :- /
Mr.















