Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Chidachi Kibaoni, Dodoma

video thumbnail
Sh. 200,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Huduma na Sifa

Sebule
Jiko
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

MASTER SEBULE NA SEHEMU YA JIKO

💈 Master sebule Na Sehem ya Jiko
💰 Kodi 200,000/=
NB : Inarudiwa Rangi
⚜️ Mahali 👉 Chidachi Kibaoni
⚜️ Jirani Sana Na Lami
☎️ 0787037986