Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Kibada, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 150,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
🚨 𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐑𝐎𝐎𝐌 𝐍𝐀 𝐉𝐈𝐊𝐎 𝐊𝐀𝐋𝐈
📍MAHALI: KIBADA - KIGAMBONI
⚡️UMEME WAKO!
🚰 Maji BURE/=
🔐FENCE KUBWA
🅿️ PARKING KUBWA
💰BEI: TZS 150,000/= kwa mwezi
🗓️ KIASI CHA MIEZI MITANO
⚠️ NB: Malipo ya udalali ni sawa na kodi ya mwezi mmoja.Gharama za kuoneshwa bila kulipia ni 20,000/= TU
☎️ WASILIANA NASI: 0698409877
*USIPOJIBIWA MESSAGE PIGA SIMU!!*
#fyp #kigamboni #dalalikigamboni #apartment















