Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Kwa Mangi, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1.7km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT KALI SANA MPYAAAAAA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #180k.
MPYA MPYA !!!!
Chumba kikubwa cha kulala sebule kubwa sana na choo ndani na jiko kubwa ndani
UMEME UNAJITEGEMEA METER YAKO NA MAJI DAWASA YANAFLOO NDANI 24hrs
Kodi 180,000 kwa mwezi × 3
Umbali KM 1.7 usafiri boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=
PIGA SIMU
##068617926
##0655256419















