Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 220,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Barabara ya Karibu

1.3km

Huduma na Sifa

Sebule
Jiko
Maji
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE

Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani public
Jiko zuri

Kodi 220,000 kwa mwezi × 6

PIA; kuna chumba sebule choo ndani

Kodi 160,000 kwa mwezi × 6

Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 700 Barabara ni Lami

Nyumba ya chini ndo ipo wazi Inajitegemea umeme na maji

Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa ten
simu 0659336751 wsp 0786085637

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam