Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 300,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Bafu

1

Huduma na Sifa

Sebule
Jiko
Luku Inajitegemea
Maji
Tiles
Gypsum

Maelezo

HAYA BEBA PESA NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA KILA GETI WAPANGAJI 2 TU

#SEBULE KUBWA
#CHUMBA WASTANI
#JIKO ZURI
#CHOO CHA NDANI

#LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA PARKING YA KUTOSHA

LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI

BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI YA KULINDA NYUMBA

SURVEY CHARGE 30,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA

UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

KWAMAWASILIANO
O677370515 whatsapp O688991244 normal call