Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000/month

Maelezo

๐Ÿก APARTMENT YA KUPANGISHA โ€“ KIMARA KOROGWE ๐Ÿ“

Apartment itakuwa wazi tarehe 20 mwezi huu baada ya mpangaji wa sasa kuhama. Unaweza kuja kuiona na kufanya malipo mapema ili ku-reserve nyumba yako.

๐Ÿ“ Mahali: Kimara Korogwe
โœจ Kisasa โ€ข Starehe โ€ข Usalama
๐Ÿ  Airbnb inaruhusiwa

๐Ÿ”‘ VITU VILIVYOMO
๐Ÿ›๏ธ Chumba 1 cha Master โ€“ Self Contained
๐Ÿ›‹๏ธ Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha
๐Ÿฝ๏ธ Jiko la kisasa lenye kabati zilizojengwa ndani

๐ŸŽ HUDUMA BURE
๐Ÿ’ง Maji โ€“ BURE
๐Ÿงน Usafi โ€“ BURE
๐Ÿ›ก๏ธ Ulinzi โ€“ BURE

โšก UMEME
๐Ÿ’ก LUKU โ€“ Mpangaji anajilipia mwenyewe

๐Ÿ’ฐ GHARAMA
๐Ÿ  Kodi: TZS 500,000 kwa mwezi
๐Ÿ“… Malipo: Miezi 3 mbele
๐Ÿ’ต Dhamana: TZS 500,000 (Kodi ya mwezi 1)
๐Ÿ“Œ
๐Ÿ‘€ Viewing: TZS 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba

O712500602 call/whatsapp number

DALALI MAKINI UBUNGO RIVERSIDE

dalali_makini_ubungo_riverside

@dalali_makini_ubungo_riverside

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rentapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
DALALI MAKINI UBUNGO RIVERSIDE