Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
ID: 260905KLJBK








Kimara, Dar Es Salaam
50 minutes ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 15/09/2026
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
✓LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA ZEGE MPKA GETINI
✓BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
✓NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA
CONTACT ✓











