Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
12m
Huduma na Sifa
Maelezo
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA MWISHO DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPKA GETINI
BEI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA MLINZI WA KAMPUNI 21,000/= KWA MWEZI ULINZI NI 24 HRS KWA MALI ZAKO
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.















