Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisasa Amazon, Dodoma

video thumbnail
Kisasa, Dodoma
10 hours ago
Sh. 300,000/month

Maelezo

🎖️ APARTMENT MPYA NZURI

✨ Muundo
✨ Master Sebule na Jiko Classic

📍 Mahali 👉 Kisasa Amazon, Dodoma

💰 Kodi 300,000/= kwa mwezi

🏡 Huduma Zilizopo
✅ Umeme na Maji unajitegemea
✅ Jikoni tunaweka makabati ya kisasa
✅ Electric ⚡️ Fence kwa usalama
✅ Jirani sana na Barabara ya Lami

📞 Mawasiliano
0787037986
0757037986

Karibuni Bupalu Real Estate