Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Maelezo
Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street) , Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Chumba Kimoja cha Kulala
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo Cha Public
Inajitegemea kwenye Umeme na maji
Kodi : 400,000 Tsh Kwa Mwezi
Contact
0625584914















