Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mnadani, Dodoma
Mnadani, Dodoma
2 hours ago
Sh. 220,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location Mnadani
Nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ina parking
Nyumba ni apartment
Asking price 220K TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano






