Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Kisungu, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master, sebule na jiko inapangishwa bei 220000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, pia fence ipo, usalama wa kutosha, kutoka kituoni dakika 1 tu, hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi kisungu dar es salaam
Calls/whatsapp 0653233641 au 0768682919
Service survey charge tsh 20000
Bila kusahau pesa ya dalali endapo ulipapo apartmemt















