Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam









Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 170,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri yakupangisha
Location: ubungo
Umbali dakika 4
Sifa zake :-
-chumba kimoja master
- dipoziti laki
_maji na usafi kwa mwezi 15,000/=x6
90000
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
Kodi 170,000/= Malipo Miezi Sita
Service Charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :- 0712528820 / 0685221354
Mr.















