Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Kibo, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
5m
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Apartment #MPYA Inapangishwa #UBUNGO_KIBO dk 5 kutoka main road
📌Chumba kioja Master Bedroom
📌Jiko la kisasa ndani
Luku Yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Usalama wakutosha
#Kodi 200,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 4,5,6
#0710614924
#0688653940__















