Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Kibo, Dar Es Salaam







Ubungo, Ubungo, Dar Es Salaam
13 days ago
Sh. 500,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Gym
Intaneti
Air Conditioning
Jiko
Sebule
Luku Inajitegemea
Maelezo
#Repost dalali_mkuu_ubungo_tabata
——
#Apartments zinapangishwa UBUNGO KIBO
📍 Imebakia Moja tu
📍 Kodi Tsh. 500,000/= *3 (miezi hata mitatu tu)
______
_________
📍 Gym
📍 Mashine ya kufulia ipo
📍 Wi-Fi
📍 A/c
______
___
* Jiko
* Sebule
* Chumba Master
* Zinajitegemea UMEME
* Mlinzi yupo 24Hrs
* Mtu wa Usafi yupo
* Mtu wa Garden yupo
* Maji BURE, Usafi BURE, Ulinzi BURE, usafi BURE
🚨 ZINGATIA:
1. Kodi inambatana na hela ya tahadhari (inarudishwa unavyohama)
2. Malipo ya Dalali ni hela ya mwezi mmoja
3. Kupelekwa kuona 20,000/=
0755336565
0712500602
