Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

video thumbnail
Kimara, Dar Es Salaam
59 minutes ago
Sh. 700,000/month

Maelezo

700K X6

MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA SUKA

UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU

NI APARTMENTS NZURI SANA NA MPYA KABISA YENYE SIFA ZIFUATAZO

VYUMBA VITATU VYA KULALA VYOTE VINA MAKABATI NA KIMOJA KATI YA HIVYO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI

TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
FULL PERVING
HEATER YA MAJI MOTO
FREE WI-FI
FULL SECURITY

JUMLA ZIPO APARTMENTS NNE TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU

UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI

SURVEY CHARGE NI 30,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA

UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO
0679 997610

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 bedsapartment
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

For Rent1 bedapartment
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

  • Sebule

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

For Rent1 bedapartment
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe Kwa Mkuwa, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
  • Parking Space

  • Uzio

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent1 bed1 bathapartment
  • Tiles

  • Gypsum

  • Sliding Windows

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000/month

For Rent3 beds2 bathsapartment
  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • (Fence) Ukuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Tembn, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

For Rent1 bedapartment
  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Uzio

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe Kwa Mkuwa, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
  • Parking Space

  • Uzio

  • Jiko

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

For Rent1 bed1 bathapartment
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 bedsapartment
  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent3 bedsapartment