Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 650,000/quarter

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA

#BEI NI 650,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA 650K

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

📌VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KATI YA HIVYO
📌VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA NA VYUMBA
📌VYOTE VINAMAKABATI NDANI
📌SEBULE KUBWA
📌JIKO KUBWA ZURI (OPEN KITCHEN)
📌PUBLIC TOILET

PARKING KUBWA
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 650,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

dalali osama contact
0674198120 ...... 0757908120

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Uzio

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 175,000/month

  • hasMasterBedRoom

  • Makabati ya Jiko

  • Public Toilet

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme