Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 300,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 08/05/2026 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING
PAVING
GARDEN

BEI NI 300,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

CONTACT ME: 0672 673363 / 0763 219307

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji ya Ku-share

  • Mpya

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji ya Ku-share

  • Mpya

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space