Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
3
Bafu
2
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MPYA, VYUMBA 3,TSHS.1.5 MILIONI, SINZA. Njoo uzindue kuishi katika nyumba hizi nzuri za kisasa. Eneo ni jirani na Vituo vya Daladala. LUKU na MAJI pekeyako, Kuna Balcony bila kusahau Parking ipo. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MPANGAJI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. +255 714 591 548 ______________brc















