Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Boko, Dar Es Salaam
Boko, Dar es Salaam
3 hours ago
Sh. 250,000/month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
1
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Nyumba inapangishwa apartment
Kodi 250000 kwa mwezi
Miezi 3 au 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room dining room kitchen cabinets public toilet
Ipo ndani ya fence inajitegemea maji na na umeme
Piga simu
#bagamoyo
#mapinga
#mabwepande
#bunjub
#boko
#tegeta















