Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Makongo Road, Dar Es Salaam
Makongo, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 600,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Inapangishwa:
Location :: GOBA MAKONGO ROAD
Bei yake :: 600,000Tsh kwa mwezi
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡Full AC
Call/Whatsapp;
#











