Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam

Goba, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 900,000/month
Maelezo
Apartment Inapangishwa:
(Zipo mbili Kwenye fensi)
Location :: Goba njia Nne
Bei yake :: 900,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili(kimoja ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Security Deposity
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
#0685 006223
#0718 759287















