Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Gongo la Mboto, Dar Es Salaam







Huduma na Sifa
Maelezo
Wahi mapemaa apartment iyo vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko bei laki mbili (200k) Kodi miezi 3 ipo mazingira mazuri, full parking location Gongo la mboto kwa kaisi nicheki 0614130017









