Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam
Kibada, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kibada
Nyumba ina vyumba Viwili Kimoja master sebule na jiko nzuri
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 400k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge ELFU ishilinii
Mawasiliano















