Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Chama, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 320,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Bafu

2

Huduma na Sifa

Air Conditioning
Maji
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Sebule

Maelezo

NYUMBA INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA YA JUU NDO IPO WAZI

Vyumba vya kulala 2 kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa na public toilet

Kodi 320,000 kwa mwezi × 6

Inajitegemea ,maji na umeme, iliyopo wazi ni yajuu. Full AC vyumba vyote na sebuleni

Kutoka kituoni dakika 8 kwa mguu

Site visit 15,000/=

0713 320 608
0686 334 182

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam