Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Gogoni, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #250K
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule na jiko
Kodi 250,000 kwa mwezi ×6
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking ipo
Umbali KM 1 Boda 1000 kutembea dakika 13 kwa mguu
SIMU
0712656027















