Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
7m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
SEBULE KUBWA
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
CHOO CHA WAGENI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
LOCATION KIMARA STOP OVER DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD
BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
dalali osama contact
0674198120....0757908120















