Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
10km
Huduma na Sifa
Maelezo
—— HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA #VYUMBA 2 VYA KULALA #CHUMBA KIMOJA MASTER #JIKO KUBWA ZURI PUBLICK TOILET *TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA *LUKU INAJITEGEMEA *MAJI DAWASA NDANI *LOCATION KIMARA SUKA DK 10 TU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD *BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI 200,000 YA KULINDA NYUMBA *Note kuja kuona nyumba ni shilingi ELFU 20 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA *CONTACT ...............0655256419 ...............0688617926















