Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Maelezo
🏢 Apartment( Bila Furniture) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Masana Hospital), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Ina :
🟢 Vyumba Viwili Vya Kulala (Vyote Masta), Sebule, Jiko lenye makabati, Choo Cha Public
🟢 Parking Space
🟢 Ina Ac
🟢 Kodi inajumuisha gharama za Maji , Ulinzi, Usafi
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme
Inafaa Airbnb au Kuishi
Kodi : 1,500,000 Tshs Kwa Mwezi
Contact
0625584914















