Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Segerea Viwanja vya Back, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment nzuri sana inapangishwa bei 400000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko lenye makabati, public toilet, umeme na maji unajitegemea, pia hapa kuna maji dawasa na kisima, hapa kuna apartment 2 tu ndani ya fence, Located tabata segerea viwanja vya back dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii















