Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo External, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
200m — Maji Chumvi Road
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 APARTMENT NZURI YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA
💰 Kodi: TZS 800,000 kwa mwezi
📍 Eneo: Ubungo External – Maji Chumvi Road
✅ Umbali wa mita 200 tu kutoka barabara kuu
✅ Mazingira tulivu, safi na ya kuvutia
✅ A/C katika vyumba vyote
✅ Heater kwenye mabafu yote
✅ Rahisi kufikika
VIGEZO VYA NYUMBA:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala (Kimoja Master Bedroom)
🛋️ Sebule kubwa
🍽️ Eneo la dining
🍳 Jikoni lenye makabati
🚽 Choo cha wageni
🚿 Bafu la ndani kwa Master Bedroom
❄️ A/C imefungwa
🔥 Heater imefungwa
🚗 Parking ya kutosha
🔒 Ndani ya fensi
💧 Maji ya bomba
⚡ Umeme wa kujitegemea
🛡️ Ulinzi na usalama wa kutosha
🌿 Mazingira mazuri na yenye utulivu
💳 Masharti ya Malipo: Miezi 6 mbele
📞 Wasiliana Nasi:
WhatsApp & Simu: 0684561351
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
⚠️ TAARIFA MUHIMU
🔹 Service Charge: TZS 20,000 (Ada ya kuonyeshwa/kutembelea nyumba)
🔹 Commission ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja (hulipwa na mpangaji baada ya kukubaliana na nyumba)















