Apartment ya vyumba viwili inauzwa Tabata Barakuda, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Apartment
Vyumba
2
Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
5km
Huduma na Sifa
Maelezo
๐ข APARTMENTS ZINAUZWA โ TABATA BARAKUDA, CHANGโOMBE
๐ Dakika 5 kutoka standi ya Changโombe
๐ Apartments 2 ndani ya compound ya SQM 500
โข Nyumba 1: vyumba 2 (1 master), sebule, jiko, public toilet
โข Nyumba 2: chumba, sebule, jiko
๐ฐ Zote kwa sasa zinapangishwa TZS 300,000 kila moja
โจ Ukiweka finishing nzuri, AC, mafeni na aluminium windows unaweza kuongeza kodi hadi 500,000 na 400,000
๐ Gari linafika.
๐ฅ Inafaa kwa makazi au uwekezaji wa biashara
๐ต Bei: Milioni 50, maongezi yapo
๐ +255688412890
Karibu ndugu mteja tufanye biashara ๐ก















