Kiwanja cha Pwani kinauzwa Kendwa Mibuyuni







Pwani
28 days ago
Sh. 25,000,000
Aina
Beach Plot
Barabara ya Karibu
180m
Huduma na Sifa
Karibu na Bichi
Karibu na Barabara
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KENDWA MIBUYUNI
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani 1km
Umbali mpaka Barabarani Mita 180
Kiwanja Ft 80x47
Njia Upande 1
Bei Tsh 25m
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni 1Km
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
