Tafuta

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Mlimwa C, Dodoma (4200 sqm)

Mlimwa C, Dodoma
2 months ago
Sh. 550,000,000

Maelezo

๐Ÿ‘‰KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–
๐Ÿ‘‰ "Unatafuta sehemu sahihi ya kuwekeza Dodoma? Hiki hapa kiwanja ๐Ÿ‘‰cha kipekee kilichopo Mlimwa C Mpamaa. Kina
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–
๐Ÿ‘‰ukubwa wa Square Meter 4,200, ni Kona Plot na kinatazama barabara ya lami moja kwa moja.
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–
๐Ÿ‘‰Kiwanja kipo kimkakati zaidiโ€”
๐Ÿ‘‰karibu na Chuo cha Mipango, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, na Hospitali ya St. Njema. Ni eneo salama lenye fensi na hati safi.
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–
๐Ÿ‘‰Kiwanja hiki kinafaa kwa Hotel ya kisasa, Apartments, au hata kituo cha mafuta.
โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–
๐Ÿ‘‰Bei ni Milioni 550 tu na maongezi yapo. Kupata fursa hii, piga simu sasa ๐Ÿ‘‰namba . Wekeza sasa, vuna kesho!"โ˜Ž๏ธ
@dalali_ngosha_dodoma

Dalali Ngosha

dalali_ngosha_dodoma

@dalali_ngosha_dodoma

View Listings
Dalali Ngosha