Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Nzuguni "A", Dodoma (915 sqm)

Aina
Kiwanja (Commercial Plot)
Ukubwa
915 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
*KIWANJA CHA PILI TOKA KWENYE BARABARA KUBWA YA LAMI, INAYOTOKA NZUGUNI BODA KWENDA NZUGUNI KWA MASISTER*
*KIWANJA HIKI CHA PILI LAMI NA CHAKWENYE KONA KINAUZWA BEI YA KINDUGU KABISA*
Mahali : Nzuguni "A" DODOMA
Sio mbali na ilipo stendi kuu ya mabasi ya mikoani Dodoma
Ni Kona Plot ya pili toka lami baada ya Apartment's za Mheshimiwa mbunge.
*KINAFAA KUJENGA;*
- Lodge
- Hotel ya Gorofa
- Apartments
- Air BnB
- Nyumba ya Makazi
*UKUBWA : SQM 915*
*DOCUMENTS : HATI*
📍💵 *BEI MILIONI 65*
Kuwa wa kwanza kuwahi kiwanja hiki kizuri kwa Biashara
KARIBU TUKUHUDUMIE 🤝☎️+255626039007



















