Duka la Dawa linauzwa Buswelu, Mwanza

Buswelu, Mwanza
3 days ago
Sh. 180,000/month
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
DUKA LA DAWA LINAUZWA BUSWELU
-duka limetizama barabara ya lami
-duka limesajiliwa na mamlaka husika
-duka linauzwa na kila kitu kilichomo
-kodi ya duka ni 180,000 kwa mwezi
☎️ 0743220097

