Duka linapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam

Aina
Duka
Huduma na Sifa
Maelezo
Hii wakala ya tgo pesa ipo kariakoo mtaa wa ndanda inatazama lami inapangishwa laki 4 kwa mwezi Kodi miezi 6
Banda la wakala mwenyewe analiuza ml 3 kama ulitaki unalakwako analitoa
Kama unalitaka munakaa mezani munaelewana
Pia hapo Kuna kilemba ml 2
Wai bila kuchelewa
#0716938128_0692198834☎️📞call
#0760097834_call wsp















