Duka linapangishwa Mkuyuni

Mkuyuni, Mwanza
7 days ago
Sh. 3,500,000/year
Maelezo
Wale wa ninataka fremu nzuri ya biashara maeneo mazuri na yenye mzunguko mzuri..
Sasa fremu ni hii hapa mkuyuni stendi imepakana na crdb bank
Inapangishwa milioni 3.5 kwa mwaka
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 ourdalali_real_estate_limited

