Duka linapangishwa Sinza Kumekucha, Dar Es Salaam

Sinza, Dar Es Salaam
14 days ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
📢INAPANGISHWA FREME 📍SINZA
💰Bei 500,000/= Kwa mwezi
📍Ipo sinza Kumekucha eneo zuri lenye biashara nyingi na muonekano wa kisasa
✅Inafaa kwa Salon, duka , Ofisi, boutique, na biashara nyingine mbalimbali
💵Malipo miezi 6
☎️0685303121
Wahi kabla haijachkuliwa nafasi kama izi azikai muda















