Duka linapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA MORI 🔥
Unatafuta sehemu kubwa na yenye biashara nzuri? Hii hapa nafasi yako!
📍 Eneo: Sinza Mori
đź’° Bei: 900,000/= kwa mwezi
📏 Frem kubwa sana – inafaa kwa biashara yoyote
✨ Ipo sehemu nzuri sana ya biashara yenye muonekano mzuri
🚶‍♂️ Rahisi kufikika kwa wateja
đź’µ Service Charge: 30,000/=
📞 Wahi sasa! Piga simu: 0787093748
🚀 Usikose nafasi hii ya dhahabu ya kukuza biashara yako!















