Duka linapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏪 FREMU INAPANGISHWA – SINZA MORI
💰 Bei: TZS 450,000 kwa mwezi
📍 Ipo Sinza Mori, eneo zuri lenye biashara nyingi na mwonekano mzuri.
✅ Inafaa kwa duka, ofisi, saluni, boutique na biashara nyingine mbalimbali.
💵 Malipo: Miezi 6
📞 Wasiliana: 0760288000
⚡ Wahi sasa, fremu nzuri hazidumu muda mrefu!
#SinzaMori #Sinza #FremuInapangishwa #ShopForRent #CommercialSpace DarEsSalaam Biashara















