Duka linauzwa Kigamboni Mwembemdogo, Dar Es Salaam

Kigamboni, Dar Es Salaam
7 days ago
Sh. 17,000,000
Huduma na Sifa
Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Nyumba za biashara zinauzwa zipo kigamboni mwembemdogo mtaa wa shirikisho
Zipo mbili zinajitegemea
Kila nyumba inavyumba 2 inajiko na Choo
Bei 👉 million 17 kila moja
PIA; kunaviwanja vya milioni 6
Umbali kutoka lami kilometer 1
Umbali kutoka ferry kilometer 18








