Tafuta

Duka linauzwa Mwenge, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 17,000,000/month

Maelezo

☑️Duka Lipo mwenge Stend mpya
☑️Kodi ni 400,000 kwa mwezi
☑️Duka linauzwa lote kwa 17M(Maongezi yapo)
☑️Duka Lina pochi za kila design,Clutch bags ,
-viatu (simple, heels & sandals)
-Kuna perfumes (kubwa & ndogo)
-Kuna cosmetics
-Hereni, cheni & pete

📌Bidhaa zote ni za China & Dubai

☑️Mita ya Umeme (Niliweka)
☑️kuna mlango mkubwa wa kioo
☑️Makabati makubwa 5
☑️Counter
☑️Wifi
😍Camera
😍Ringlight
😍360 stand (holder ya simu wakati wa matangazo)
😍microphones (kwa ajili ya matangazo)
😍Decorated lights (Taa urembo za ndani)

NB. bidhaa nyingne zipo kwenye makabati

✅📌📌Pia mtu yoyote ambaye atanunua atapata bonus ya kupata masuppliers wangu wa Dubai & China .
👑(Hii hutoipata sehemu yoyote ile mtu kukupa suppliers wakati anauza duka lake?)

📌(Pia unaweza nunua vitu tu ukaacha frem haufungwi na kwenda kutafuta frem nyingne unapopenda wewe)

Service charge 30k
Call 0787093748

Matangazo yanayofanana Mwenge, Dar Es Salaam

Duka linauzwa Mwenge, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000/month

  • Umeme

  • CCTV

  • Intaneti