Frame inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam



Mwenge, Kinondoni, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Nafasi ya Biashara
Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – MWENGE 🔥
Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha au kupanua biashara yako? Hii hapa fursa adimu!
📍 Frem ipo Mwenge – eneo zuri sana lenye mzunguko mkubwa wa watu
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
✨ Frem nzuri sana, ina mvuto na inafaa kwa biashara yoyote
🧾 Service charge: 30,000/=
Usikose nafasi hii ya kupata location bora kwa biashara yako!
📞 Call: 0787093748
