Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Aina
Nafasi ya Biashara
Maelezo
🔥 FREM KUBWA INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Frem kubwa sana inapangishwa Sinza, ipo kwenye eneo zuri sana la biashara lenye muonekano mzuri na mvuto wa wateja.
💼 Inafaa kwa biashara yoyote (shop, office, showroom n.k.)
💰 Bei: 2,000,000/= kwa mwezi
💡 Service charge: 30,000/=
Chukua nafasi hii adimu kwa biashara yako!
📞 Call: 0787093748




















