Tafuta

Frame inauzwa Kirumba, Mwanza

Kirumba, Mwanza
13 hours ago
Sh. 180,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA KIRUMBA
-nyumba ya kwanza kutoka barabara ya lami
-ina fremu za biashara na nyumba za wapangaji
-ukubwa wa kiwanja ni 337 Sqm
-ina hati miliki ya wizara
-bei Milioni 180
-mazungumzo yapo

☎️ 0743220097