Frame ya Biashara inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam

Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Maelezo
🏠 FREMU INAPANGISHWA – Makumbusho
💰 Kodi: 800,000 Tsh kwa mwezi
📍 Location: Makumbusho (eneo la biashara, linapitika kirahisi)
✨ Inafaa kwa biashara mbalimbali
🚶 Karibu na barabara kuu
🔌 Umeme upo
📞 Wahi sasa!
☎️ 0678512666
💼 Service charge: 30,000 Tsh










